DG Emojik✳ Lugha zote ↗

DG EMOJIK / Kiswahili (Kenya)

Tafuta na nakili emoji

2255 emoji Utafutaji wako unabaki kwenye kivinjari hiki.

Emoji moja moja

wanyama au ulimwengu

Tafuta kwa jina au mada, au bandika emoji.

Utafutaji wa haraka: ⌘ / Ctrl + K

81–160 / 161

unyoya

kuruka | manyoya | ndege | nyepesi | unyoya

Flamingo

flamingo | Flamingo | kwenye joto | madaha | tropiki

tausi

kiburi | majivuno | ndege | tausi

kasuku

kasuku | kuzungumza | maharamia | ndege | ongea

bawa

angani | bawa | kupaa | kuruka | malaika | mbinguni | mithiolojia | ndege | paa | safari za ndege | visasili

ndege mweusi

kunguru | kunguru mabaka | mdomo wa ndege | mnyama | mweusi | ndege

bata bukini

bata | bata bukini | honi | jinga | kundi | kundi la ndege | mjinga | mnyama | mpuuzi | ndege | puuzi

finiksi

finiksi | njozi, ndege aliyejichoma, kufufuka, kuzaliwa upya | ufufuo

uso wa chura

chura | uso | uso wa chura

mamba

mamba | mnyama

mzee kobe

kobe | mzee kobe

mjusi

kenge | mjusi | mnyama | mnyama anayetamba

nyoka

dubu | joka | nyoka | opichasi | zodiaki

uso wa dragoni

dragoni | kichimbakazi | uso | uso wa dragoni

dragoni

dragoni | kichimbakazi

sauropodi

brachiosaurusi | brontosaurusi | diplodocusi | sauropodi

T-Rex

dinosaura | T-Rex | Tyrannosaria Rex

nyangumi anayerusha maji

kurusha | nyangumi | nyangumi anayerusha maji | uso

nyangumi

bahari | nyangumi

pomboo

kikono | papa | pomboo | samaki

Chengo

bahari | majini | nyangumi

sili

bahari | mnyama | sili | sili mkubwa

samaki

chakula | samaki | zodiaki

samaki wa tropiki

samaki | samaki wa tropiki | tropikali

aina ya samaki

aina ya samaki | pweza | samaki

papa

papa | pweza | samaki

pweza

bahari | pweza

kombe la mzunguko

ganda la baharini | ganda la ufukoni | kombe | kombe la mzunguko | mzunguko | ufuko

matumbawe

bahari | mabadiliko ya tabianchi | matumbawe | tabianchi

kiwavi wa baharini

bahari | baharini | bila uti wa mgongo | choma | jeli | kiwavi wa baharini | kuuma | maisha ya baharini | mnyama | samaki wa kufugwa | uchungu | umiza

kaa

kaa | zodiaki

kambamti

gando | kambamti | supu | vyakula vya baharini

uduvi

chakula | kamba | shrimpu | uduvi

ngisi

chakula | ngisi | samaki

chaza

chaza | kupiga mbizi | lulu

konokono

asilia | konokono | shamba

kipepeo

kipepeo | maridadi | mdudu

kipepeo mkubwa

badiliko | dhaifu | kiwavi | mabadiliko | mageuzi | mdudu | tumaini | uhamiaji

mdudu

duduwasha | mdudu

siafu

chunguchungu | mdudu | siafu

nyuki

asali | mandhari | mdudu | nyuki

mende

dudu | kijidudu | kiumbe | mdudu | mende

kombamwiko mwenye madoa

bimbirisa kimba | kombamwiko | kombamwiko mwenye madoa | mdudu | mende

nyenje

kriketi | mdudu | nyenje | panzi

kombamwiko

dudu | kijidudu | kiumbe | kombamwiko | mdudu | mende

buibui

buibui | mdudu

tandabui

buibui | tandabui | utandu

ng’e

ng’e | zodiaki

mbu

homa | malaria | mbu | mdudu | ugojwa | ugonjwa | uma | virusi

nzi

dudu | funza | kiumbe | kuoza | mdudu | nzi | ugonjwa

mnyoo

anelidi | jongoo | mdudu | mnyama | mnyoo | nyungunyungu

bakteria

amoeba | bakteria | sayansi | virusi

shada la maua

mapenzi | mmea | shada la maua | ua

ua la mcheri

chanua | cheri | mmea | ua | ua la mcheri | uzuri

ua jeupe

ua | ua jeupe

yungiyungi

India | Kihindu | ua | Ubudha | usafi | Vietinamu | yungi | yungiyungi

waridi

mmea | waridi

ua la waridi

mmea | nyekundu | ua | ua la waridi

ua lililonyauka

ua | ua la waridi linalo nyauka | ua lililonyauka

haibiskasi

haibiskasi | mmea | ua

alizeti

alizeti | jua | mmea | ua

maua mengi

maua mengi | mmea | ua

tulipu

mmea | tulipu | ua

hyacinthi

chanua | chipuka | hyacinthi | kichaka | maua | maua ya samawati | maua ya zambarau | mmea | mrujuani | rangi maridadi | ua | zambarau

mche

mche | mmea | mmea mchanga

mmea ndani ya mkebe

bila faida | chungu | kutunza | mea | mmea | mmea ndani ya mkebe | mtungi | nyumba | pambo | uchoshi

mmea wenye majani mwaka mzima

mmea | mmea wenye majani mwaka mzima | mti | mti wa krismasi

mti unaopukutika majani yake

kupuputika | mmea | mti | mti unaopukutika majani yake | puputika majani

mnazi

mmea | mnazi | mti

dungusi kakati

dungusi kakati | mmea

shada la mchele

mchele | mmea | punje | shada la mchele | shada la mpunga | sikio

mimea ya msimu

jani | mimea ya msimu | mmea | tawi

shamroki

mmea | shamroki

klova yenye majani manne

4 | jani | klova | klova yenye majani manne | mmea | nne | tawi

jani la mshira

jani | jani la mshira | kuanguka | mmea | mshira | msimu wa kipupwe

jani lililoanguka

jani lililoanguka | kipupwe | kuanguka | majani | mmea

jani linalopepea kwenye upepo

jani linalopepea kwenye upepo | mmea | pepea | puliza | tawi | upepo

kiota tupu

kiota | kiota tupu | nyumba | tawi

kiota chenye mayai

kiota | kiota chenye mayai | kiota kilicho na mayai | mayai | ndege | yai

uyoga

mmea | uyoga